Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

oke mkuu niambie unataka 4k ya aina gani na kampuni gani na bajeti yako kiasi gani tuimalize hio biashara leo
Mkuu salumu kupitia wewe twazidi kujifunza mengi ,Mimi kiukweli kwenye hayo matoleo najua tu LCD, LED, na smart TV he hio 4K ni IPI hasa je quality yake ni the best kuliko nilizozitaja au
 
oke mkuu niambie unataka 4k ya aina gani na kampuni gani na bajeti yako kiasi gani tuimalize hio biashara leo
Budget cwez sema ni sawa nakuruhusu kupigwa. Brand ziwe hiz kubwa plus tcl. Co cjui boss, star x na wenzao. Inh 49/55 ukipata ni tag tu
 
Budget cwez sema ni sawa nakuruhusu kupigwa. Brand ziwe hiz kubwa plus tcl. Co cjui boss, star x na wenzao. Inh 49/55 ukipata ni tag tu
nicheck mkuu 0629565168 tuyajenge kama unaitaji mpya umeshapata wala sio za kutafuta
 
new tcl smart tv inch 32...bei 500000/=
IMG_20180605_152309_734.jpg
IMG_20180605_152309_736.jpg
IMG_20180605_152309_738.jpg
 
kazkaz[emoji123][emoji123]
Screenshot_20180606-072240.jpg
Screenshot_20180606-072233.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20180606-075357.png
    Screenshot_20180606-075357.png
    94.4 KB · Views: 75
Nina laki moja nahtaji tv ncheki WC fasta jamani iwe ni DC napatkana watsap kirahisi 0757409390
 
Naomba kueleweshwa wakuu,kuna faida zipi za TV zenye 4K resolution (UHD) dhidi ya ambazo hazina na ipi unashauri ninunue.

Msaada wako unahitajika sana
 
Back
Top Bottom