SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
yah tv ipi mkuu coz tuna second hand na mpya...used ni six month warranty and mpya ni one year warranty na zipo za two years warrantyWarranty miaka mingapi ?
LG na Samsung mpya nch 32yah tv ipi mkuu coz tuna second hand na mpya...used ni six month warranty and mpya ni one year warranty na zipo za two years warranty
2 yearsLG na Samsung mpya nch 32
Bei gan2 years
samsung zipo za 450000 na laki 500000 na 550000 kutokana na series zake Lg zipo za 500000 model 32lj50 and 32lj52..Bei gan
Kesho nakuja au jumapili mna sabufa pia ?samsung zipo za 450000 na laki 500000 na 550000 kutokana na series zake Lg zipo za 500000 model 32lj50 and 32lj52..
jpili atufungui mybe kwa kesho...karibu mkuuKesho nakuja au jumapili mna sabufa pia ?
Sjui km nitawahi kesho mnafunga muda ganjpili atufungui mybe kwa kesho...karibu mkuu
duka za town (kariakoo, mnazi, machinga complex)saa 11 na nusu jion na duka za ng'ambo (magomen, kawe)saa mbili uskSjui km nitawahi kesho mnafunga muda gan
Nitawahi kumbe kwa magomeni au kaweduka za town (kariakoo, mnazi, machinga complex)saa 11 na nusu jion na duka za ng'ambo (magomen, kawe)saa mbili usk
sawa mkuu karibuNitawahi kumbe kwa magomeni au kawe
Ahsante sana mkuusawa mkuu karibu
Mkuu sabufa ni NDEGE gani?au FRIDGE?sijakuelewa mkuinahitaji sabufa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu....
samsung zipo za 450000 na laki 500000 na 550000 kutokana na series zake Lg zipo za 500000 model 32lj50 and 32lj52..
salum ahmedWakuu,
Naombeni kufahamu maduka wanayouza vifaa tajwa hapo juu kwa bei poa jijini Dar, nahitaji vifa hivyo kwaajili ya kuuzia wateja wangu hivyo ningependa ninunue kwa bei ya chini ili namimi nisiwaumize wateja wangu.
Asanteni