Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tcl smart tv inch 43 new and one year warranty bei 900000/=
Tcl smart tv inch 55 new and one year warranty bei 1500000/=
IMG_20180818_133032_323.jpg
IMG_20180818_133044_150.jpg
IMG_20180818_130520_874.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Naombeni kufahamu maduka wanayouza vifaa tajwa hapo juu kwa bei poa jijini Dar, nahitaji vifa hivyo kwaajili ya kuuzia wateja wangu hivyo ningependa ninunue kwa bei ya chini ili namimi nisiwaumize wateja wangu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom