SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Sory,boss hii tv toleo la mwaka gani?LG LED INCH 32 SLIM, usb, hdmi, av,full hd 1080p, umeme dc....bei 450000/=View attachment 847472View attachment 847473
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio lg bado ipo mkuu?LG SMART TV AND 3D INCH 47...BEI 1100000View attachment 831481View attachment 831482
Tv ya size hii bado ipo? Na toleo pa mwaka ganiinch 43 LG super slim....bei 750000/=View attachment 836989View attachment 836990View attachment 836991
Mkuu bado unahitaji tv ya aina hiyo?kuna jamaa yangu anayo lg nchi 32!! Bado mpya ametumia kama miezi sita anaiuza. Laki 4 yupo dsm
Sinza ipi boss?Hata Amazinglifestyletz wako poa sana,nimeshaagiza kwao,wamenitumia mzigo mpaka nilipo,hawa wana duka kubwa maeneo ya Sinza..
Ameshaiuza mkuu!!!Kama bado anayo tv huyo rafiki yako,na ana risiti za tv ikiwa na box lake.Ni pm,kwani nina shida na tv kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina 450k nahitaji smart tv 32"
Kampuni iwe kati ya hizi samsung,lg,philips,sony,tcl,panasonic,sharp,jvc, nk.
Kama ipo inch zaid ya 32 hiyo hata isipokuwa smart nachukua ila uwe led.
Ila kama kuna tv nzuri zaid na pesa haiko mbali sana na 450k basi naweza jikongoja.
Hapo kwenye nch zaid ya 32 haijalishi ni mpya au mtumba na hata kama ipo ndan nachukua(vigezo na mashart tutazingatia kwa tv za ndani )
Waungwana msaada tafadhali
Nichek 0715681975
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nauliza home theater sonny Watts 1000 naweza pata Kwa sh ngapi?