Amaek
Member
- Mar 10, 2017
- 15
- 3
Kuna jamaa aliniuzia tv inchi 24,, mapatano ilikuwa tv lg 32. Baada ya hapo tulikubaliana anirudishie pesa kidogo mpaka dakika hii amegoma kunimalizia pesa yangu,, ilikuwa mwezi wa pili sasa ni mwezi wa tisa.
Nashauri, mnauza bidhaa muwe waaminifu na mnauziwa/kununua bidhaa mtandaoni kuweni makini sana aisee!!
Nashauri, mnauza bidhaa muwe waaminifu na mnauziwa/kununua bidhaa mtandaoni kuweni makini sana aisee!!