Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Afadhali umenisaidia mkuu.. nashkuru sana..
Maana humu wajuaji ni wengi mno
[emoji2] [emoji3] [emoji2] bado mkuu aujakutana nao kabisaa humu kuna wambea,wanaodandia vitu visivyowahusu na wala sio wateja, wanafiki,matapeli,wajuaji ndio kama wote, ili jukwaa ndio jukwaa la majungu kuliko jukwaa la simu kule humu mtu akikuchukia or akichukia item yako tegemea kuambiwa chochote kile
 
Aisee wewe ni ME or KE mbona upo kimipasho zaidi
 
WAKUU MIMI NAUZA TV
Size 25inch,Full HD,brand KODTEC full box manake nimeinunua ina miez kama miwili hivi.Kwa wanaohitaj tuwasiliane
 
LG....
43 uj643 smart4k 1200000
43 uj 651smart 4k 1200000
49 uj 651smart 4k 1450000
55 uj 651 smart4k 2000000
SAMSUNG...
49j5200 smart 1350000
55 m7000 4k 2250000
55 m7350 4k 2250000
TCL
55 s6200 smart.1400000 Kazkaz[emoji123][emoji123]View attachment 845898

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba yako ya simu mkuu...na unapatikana wapi?nataka lg nchi 49 smart 4k(uhd) bei za model tofauti tofauti
 
Lg led (display plasma) inch 60 second hand UK ...six months warranty...bei 1600000/=
IMG_20180918_145535_997.jpg
 
mimi natafuta tv 43 inchi led smart yenye dicoder ndani yenye netflix aina ya evoil 4k
 
Nauza TV SAMSUNG

55" UHD 4K Flat Smart TV MU7000 Series 7

UA55MU7000KXZN - Model No.

Condition - Used - 3 MONTHS

Price - 1,600,000

Ipo Dar , kwa aliyieko dar akiitaka analetewa mpaka alipo bure kabisa na kufungiwa. Kisha ndio anatoa malipo yake baada ya kuridhika.[emoji108]
 
Back
Top Bottom