Ngovongo
JF-Expert Member
- Jan 28, 2018
- 240
- 359
[emoji2] [emoji3] [emoji2] bado mkuu aujakutana nao kabisaa humu kuna wambea,wanaodandia vitu visivyowahusu na wala sio wateja, wanafiki,matapeli,wajuaji ndio kama wote, ili jukwaa ndio jukwaa la majungu kuliko jukwaa la simu kule humu mtu akikuchukia or akichukia item yako tegemea kuambiwa chochote kileAfadhali umenisaidia mkuu.. nashkuru sana..
Maana humu wajuaji ni wengi mno