Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mwenye kioo cha tv aina ya Boss inchi 32 pls anicheki
 
Nina TV yangu Philips nahitaji laki 350000 tu nipo Dar es salaam kama una mtu Dar mwambie aje aione ajirizishe TV iko poa kabisa rangi ni Silva inch 32. Karibu sana
mzeee baba mzigo bado upooo au ushapata kichwa
 
Hii inatatizo la mstari unaoonekana hapo kwenye kioo
Mwenye kuliweza kutengeneza tatzo hilo
 
Naomba msaada TV yangu ZEC inch 24 imepasuka kioo kwa juu.Je inaweza kubadilishwa kioo. Kama kuna fundi anitafute.nipo geita. 0769770943
 
Nahitaji Samsung inch 24 nitapata kwa bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…