son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 264
Ss mkuu ww ni mfanyabiashara na ss ni wateja na siku zote mnatakiwa kuyafanyia kazi maombi yetu km yapo chini ya uwezo wenu.Soko limebadilika ss unapata bidhaa bora kwa low budget ila wengi bado mmekazania kwa top brand tu.Hamkuuliza hivo, mmekuja na dharau kwamba tunaleta matv yazamani ya mwaka 2015, kama vile iyo mnayoiulizia ni tv bora na ya gharama kuliko zote ambazo sisi hatuwezi kuleta
Ngoja tuwasikilizie watafanyia kazi hayo madokezo tuliyotoa.Jamaa hawajui customer care skills hao, biashara haziendi hivyo wao wanalazimisha wanavyotaka wao tuvipende haiwezekani!
Mimim ninayo LG Flat screen HD na ina HDMI port ya 24"Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni
Nakuunga mkono, ninazo Digital Camera za kiwangouzi mzuri sana huu ila isiwe tv tu ila iwe inajuamuisha home electronic appliances zote.
ushauri tu.
kweli mkuu , afu sorry hizo roku tv naona zina sifiwa sana, hivi zina sifa gani spesho ukiachana na hiz tcl za kawaidaJamaa hawajui customer care skills hao, biashara haziendi hivyo wao wanalazimisha wanavyotaka wao tuvipende haiwezekani!
bado ipo???Ooooh hpa kuna nchi 18 @70,000/=
bado ipo???TV ya chogo nauza inch 24.. JVC iko pia kabisa
90,000 Tu..View attachment 827264View attachment 827265View attachment 827266
bado ipo??Aina gani?!
Weka mawasilianoMimim ninayo LG Flat screen HD na ina HDMI port ya 24"
Naiuza Shs 250,000/=
+255754970320Weka mawasiliano
Nahitaji Simu ya kiwango, Prefered Techno Phantom au Samsung ya kulingana na PhantomMkuu nimekuja pm
Second hand UK inch 32 to 50
Smart and led now available
Nicheck 0629565168View attachment 947325View attachment 947326View attachment 947327View attachment 947328
Mimim ninayo LG Flat screen HD na ina HDMI port ya 24"
Naiuza Shs 250,000/=