Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018

Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
 
Mkuu chukua 350k
Akikataa hiyo 350k njoo nikupe TV mpya yenye WARRANTY. Tupigie kwa 0717016789 [emoji108]

Free DELIVERY kama upo dar
IMG_20181101_141546.jpeg
 
Mna Roku TV?
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018

Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
 
Hii tv bongo huipati labda Nairobi! Hawa jamaa zetu wanauza ma TV ya kizamani (2015) kwa bei mbaya sana! Wakati the same price unapata model ya 2017
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.
Kilichonikwamisha kuagiza ni msururu wa kodi kwa tv unachukua 450k ukijumlisha kodi plus usafiriinafika 1.2 m hapo ndo nikachoka.
 
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018

Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
Naona ujamuelewa mleta mada,anasema zinazorun roku os na sio linux au web os
 
Duuuh!! Mbona ghali mno? Bora ununue hizi za kawaida afu uagize ile Roku kit uinstall
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.
Kilichonikwamisha kuagiza ni msururu wa kodi kwa tv unachukua 450k ukijumlisha kodi plus usafiriinafika 1.2 m hapo ndo nikachoka.
 
Watu wengine mnajifanya mko update mkiletewa izo tv mnaufyata, nivile tu mtu anataka aonekane yuko latest
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!
 
Back
Top Bottom