Silvester Kapala
Senior Member
- Aug 26, 2017
- 140
- 103
Boss ingia dukan unapata mpyaaaaNiko Mbeya nahitaji Tv nchi 32 bajeti yangu 400,000/= hadi 450,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss ingia dukan unapata mpyaaaaNiko Mbeya nahitaji Tv nchi 32 bajeti yangu 400,000/= hadi 450,000/=
Ndio mkuu unapata. Call/Whatsapp - 0717016789kuna Smart TV ya less than 400k - 500k humu ndani?
Mkuu nicheki sasa. Nikupe mpya yenye warranty. 0717016789naomba nigongelee msumari kuwa iwe used hata sio ishu ili ifavour budget
Mkuu katika specifications hapo umesema "in built satelite" naomba kujua hiyo inakazi gani kwenye TV?SAMSUNG 32 INCH LED TV
BEI : 530,000/=
[emoji818]In Built Satellite
[emoji818]Clean View
[emoji818]SERIES 5
[emoji818]2 Years Warranty
[emoji818]FREE DELIVERY in DAR
LOCATION : K/KOO
KWA MAWASILIANO:
WhatsApp / Message / Call - 0717016789View attachment 900167View attachment 900168View attachment 900169
mkuu nitakuja, naipenda ile pinetech 4k 55" , nazichanga hadi mwisho wa mwezi huu maana hapa nina 1M kamiliMkuu nicheki sasa. Nikupe mpya yenye warranty. 0717016789
LG OLED INCH 55 MODEL 55EG9A7
BEI 2500000/=View attachment 931894View attachment 931895View attachment 931896
weka bei mkuuTCL Smart TV 43" FHD LED
Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Built in Decoder [emoji3514](No Kingamuzi)
Call/Whatsapp - 0717016789View attachment 941091View attachment 941092
Mbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!TCL Smart TV 43" FHD LED
Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Built in Decoder [emoji3514](No Kingamuzi)
Call/Whatsapp - 0717016789View attachment 941091
Hii tv bongo huipati labda Nairobi! Hawa jamaa zetu wanauza ma TV ya kizamani (2015) kwa bei mbaya sana! Wakati the same price unapata model ya 2017Nahitaji hyo tv kwa mwenye nayo anicheki tufanye biashara.View attachment 936190
Nilitaka kununua TCL, umenifumbua macho. Naweza kuagiza hiyo Yenye ROKU online?Mbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!Nilitaka kununua TCL, umenifumbua macho. Naweza kuagiza hiyo Yenye ROKU online?
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!
Mzee baba, Vp kodi zikoje ukiagiza?Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!
Kodi sijajua ila lazma ziwe zimependeza maana awamu hii.ni ya kodiMzee baba, Vp kodi zikoje ukiagiza?
Hahahah ngoja Jiwe aondoke Magogoni kwanza kisha ntakuuzia!Boss niuzie hilo used la 49' ili uagize linalonoga