Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji hyo tv kwa mwenye nayo anicheki tufanye biashara.
Screenshot_2018-11-16-11-51-32.jpeg
 
TCL Smart TV 43" FHD LED

Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Built in Decoder [emoji3514](No Kingamuzi)

Price - 850,000

Call/Whatsapp - 0717016789
IMG-20181121-WA0000.jpeg
IMG-20181121-WA0001.jpeg
 
TCL Smart TV 43" FHD LED

Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Built in Decoder [emoji3514](No Kingamuzi)

Call/Whatsapp - 0717016789View attachment 941091View attachment 941092
weka bei mkuu
 
TCL Smart TV 43" FHD LED

Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Built in Decoder [emoji3514](No Kingamuzi)

Call/Whatsapp - 0717016789View attachment 941091
Mbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!
 
Nilitaka kununua TCL, umenifumbua macho. Naweza kuagiza hiyo Yenye ROKU online?
 
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!
 
Boss niuzie hilo used la 49' ili uagize linalonoga

Mzee baba, Vp kodi zikoje ukiagiza?
 
Back
Top Bottom