Mkuu chukua 350ktv LG inch 32 imetumika 6months tu
ina king'amuz cha ndani
nko dar, tabata
400000tsh
maongez yapo kidogo
0712756342 for serious buyersView attachment 924997View attachment 925001View attachment 925002View attachment 925004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu chukua 350ktv LG inch 32 imetumika 6months tu
ina king'amuz cha ndani
nko dar, tabata
400000tsh
maongez yapo kidogo
0712756342 for serious buyersView attachment 924997View attachment 925001View attachment 925002View attachment 925004
TCL inch 49 unauza bei gani?
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018Mbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!
Akikataa hiyo 350k njoo nikupe TV mpya yenye WARRANTY. Tupigie kwa 0717016789 [emoji108]Mkuu chukua 350k
Wakuu mambo vp humu,nahitaji TV used zenye hali nzuri LED 40"+.nikipata zikiwa 4 itakua vzr.0713064992..offa yangu ni 480,000/-
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018
Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.Hii tv bongo huipati labda Nairobi! Hawa jamaa zetu wanauza ma TV ya kizamani (2015) kwa bei mbaya sana! Wakati the same price unapata model ya 2017
Akijibu nitagg nduguMna Roku TV?
Naona ujamuelewa mleta mada,anasema zinazorun roku os na sio linux au web osMkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018
Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
Mkuu kodi inatia kichefuchefu kabisaMzee baba, Vp kodi zikoje ukiagiza?
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.
Kilichonikwamisha kuagiza ni msururu wa kodi kwa tv unachukua 450k ukijumlisha kodi plus usafiriinafika 1.2 m hapo ndo nikachoka.
Ndohvyo mkuuDuuuh!! Mbona ghali mno? Bora ununue hizi za kawaida afu uagize ile Roku kit uinstall
Ndohvyo mkuu
Hapo unaweza kusave tena sana ila hupati uhalisia km ukiwa na kitu chenyew.Hii itakuwa sio ghali sana
Hapo unaweza kusave tena sana ila hupati uhalisia km ukiwa na kitu chenyew.
Teh teh teh,ngoja nichungulie kwa wenzetu hapa kwa uhuru kenyata nione km nitaafford.Basi ulipe kodi mkuu, maana unaweza kuta gharama ya kodi inazidi bei ya TV
Sawa mkuu ila ninamzuka kweli na lgAkikataa hiyo 350k njoo nikupe TV mpya yenye WARRANTY. Tupigie kwa 0717016789 [emoji108]
Free DELIVERY kama upo darView attachment 941510
Sawa mkuu ila ninamzuka kweli na lgAkikataa hiyo 350k njoo nikupe TV mpya yenye WARRANTY. Tupigie kwa 0717016789 [emoji108]
Free DELIVERY kama upo darView attachment 941510
Naona ujamuelewa mleta mada,anasema zinazorun roku os na sio linux au web os
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!