Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

KAMATA TV NIMETUMIA MIEZI MIWILI TU 43 INCHI AINA YA MOBISOL HUITAJI KING'AMUZI NI WEWE NA ANTENA YAKO TU INATUMIA UMEME WA DC NA AC HIVYO HATA UKIWA NA BETRI YA GARI AU SOLAR INAWAKA INA KILA KITU CHAKE, BEI 650,000 NIPO MBEZI YA KIMARA, USB PORT 2, HDMI PORT 2 NK NK INAFAA KUTUMIA NYUMBANI NA KWENYE MABANDA AU KUMBI ZA MPIRA AU BAR.. 0787 429 104
HIZO PICHA ZINAONEKA VIBAYA SABABU NMETUMIA SIMU NDOGO SANA HIVYO SI MUONEKANO HALISI WA TV AU KIOO..KARIBUNI MI NAKULETEA MPAKA HOME NAKUFUNGIA
 

Attachments

  • tv 3.jpg
    7.2 KB · Views: 56
  • tv 7.jpg
    6.7 KB · Views: 59
  • tv 8.jpg
    6.9 KB · Views: 53
Nina star X 24" hapa mpyaa..
full box na wall stand yake..
nahitaji 260k tuu

Nipo Mwanza

Call/sms/whatsapp 0746510577
 
Mart Na Haier Tv, Hizi ni brands za kampuni zipi?

Wauzaji wengi wa kkoo wanauza Tv fake hasa za Sony, LG, Samsung Na TCL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.
Kilichonikwamisha kuagiza ni msururu wa kodi kwa tv unachukua 450k ukijumlisha kodi plus usafiriinafika 1.2 m hapo ndo nikachoka.
Loh inakatisha tamaa sana.
 
Loh....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…