Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

KAMATA TV NIMETUMIA MIEZI MIWILI TU 43 INCHI AINA YA MOBISOL HUITAJI KING'AMUZI NI WEWE NA ANTENA YAKO TU INATUMIA UMEME WA DC NA AC HIVYO HATA UKIWA NA BETRI YA GARI AU SOLAR INAWAKA INA KILA KITU CHAKE, BEI 650,000 NIPO MBEZI YA KIMARA, USB PORT 2, HDMI PORT 2 NK NK INAFAA KUTUMIA NYUMBANI NA KWENYE MABANDA AU KUMBI ZA MPIRA AU BAR.. 0787 429 104
HIZO PICHA ZINAONEKA VIBAYA SABABU NMETUMIA SIMU NDOGO SANA HIVYO SI MUONEKANO HALISI WA TV AU KIOO..KARIBUNI MI NAKULETEA MPAKA HOME NAKUFUNGIA
 

Attachments

  • tv 3.jpg
    tv 3.jpg
    7.2 KB · Views: 56
  • tv 7.jpg
    tv 7.jpg
    6.7 KB · Views: 59
  • tv 8.jpg
    tv 8.jpg
    6.9 KB · Views: 53
Nina star X 24" hapa mpyaa..
full box na wall stand yake..
nahitaji 260k tuu

Nipo Mwanza

Call/sms/whatsapp 0746510577
20190306_100504.jpeg
20190306_100512.jpeg
 
Nimezungaka k.koo yote sijapa tcl tv yenye roku os,walizonazo zinarun linux au web os.
Kilichonikwamisha kuagiza ni msururu wa kodi kwa tv unachukua 450k ukijumlisha kodi plus usafiriinafika 1.2 m hapo ndo nikachoka.
Loh inakatisha tamaa sana.
 
Loh....!
Aisee wew Ticha Mimi sikujua km wew ni choko ningekuwa nishakupa stahiki yako mapema Sana japo huwa sifanyi machoko..yanii wew kila sehem ukisikia salum lazima usimamishe matako yako..nilikutumia item sio? Uliposema item ni tofaut na model uliyotaka je ukupata pesa zako? Na mbona uliendelea kuitaji item kwangu? Na hio simu anayotumia mkeo umeitoa wapi? Nilipotuma tv guard na HDMI balance yangu iliyobaki kwenu wew na mwenzio mlinimalizia?ulishawai kuona nalialia Nilishakwambia toka mwaka juzi Tabia za kichoko na za kimpunga acha wengine tumeshastaff kuwaingilia machoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom