Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

mm pia nauliza kuna uwezekano wakufanya Monitor ya Compyuta kuwa matumizi ya tv ya kawaida?na kama inawezekana nn kinahitajika?
 
Mkuu Abdulwaid, kuna majadiliano zaidi ya 400 kwenye bandiko hili, naomba utuandikie tena 32''samsung led. Asante
 
Naamini tuko wengi wenye shida kama hiyo . Naomba kufahamu Bei kwa Dar na Mwanza.
 
1471884410542.jpg
1471884429645.jpg
1471884450203.jpg

Tcl smart 32"
Price: 470000
 
Seriously ni nahitaji TV ya chogo nchi kuanzia 32 mpaka 40 ni tsh ngapi?
 
Mkuu Abdulwahid tafuta
agent huku moshi/arusha
kwa bei zako utauza sana
huku mimi nataka hii ila usafiri najua itanikosti sana hapo
Mkuu tutafanya hivo inshaallah tunaangalia upepo kwanza wa nchi, Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom