Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Karibuni
0777650286, 0718919725
Samsung led 32" 430000
Samsung led 43" 800000
Samsung smart 43" 900000
Samsung smart 50" 1.15m
Samsung smart 55" 1.6m
Lg led 32" 420000
Lg led 43" 700000
Lg smart 43" 900000
Lg smart 49" 1.05m
 
Kweli kabisa chief,mimi niko nachingwea jamaa alinitumia tv kwa cost ya ef40 tu.wakati gari zetu huku hata soks ukiagiza dar utasikia nauli ef10.
 
Ngoja nizichek kesho in shaa Allah mana ndo kwanza mzigo tumeingiza leo, so ntakujulisha ipi inasupport iyo kitu, ila mara nying lg ndo zina hiyo requirement
Mkuu led ulizonazo ni Model gani Mkuu na zina DVB-T/S mkuu?
 
Nani kakuambia mpaka ikifika dar ni 360000 mkuu? Kwa hii 32" mpaka ikifika dar ni 320000, mnajua bora tv kuituma kigoma ni rahisi kuliko kuituma hapo dar? Alieko mikoani hii anaweza kuipata kwa 310000 tu
Kwanini
 
Hongera saana kwa kufanya biashara yako kwa uaminifu mkubwa.
Nilinunua Tv toka kwako mwaka juzi, na niliitumia kwa miezi Kama sita tu. Kisha wahuni walivunja dirisha na kuiba. Kwa hiyo najipanga tena mkuu.
 
Shukran mkuu, me nikupe pole na karibu tena
Hongera saana kwa kufanya biashara yako kwa uaminifu mkubwa.
Nilinunua Tv toka kwako mwaka juzi, na niliitumia kwa miezi Kama sita tu. Kisha wahuni walivunja dirisha na kuiba. Kwa hiyo najipanga tena mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…