21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
poa nimeiona. Vip kuhusu hizo hisense smart 32 ni kwamba zimeisha mpaka muagize nyingene au hamna mpango huo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa nimeiona. Vip kuhusu hizo hisense smart 32 ni kwamba zimeisha mpaka muagize nyingene au hamna mpango huo kabisa
poa nimeiona. Vip kuhusu hizo hisense smart 32 ni kwamba zimeisha mpaka muagize nyingene au hamna mpango huo kabisa
Poa kiongozi, ila kwa uzoefu wako kuna zina tofauti yoyote hizi hisense na tcl? Maana, kuna baadhi ya features sijaziona kwenye tclHizo mkuu hatuna na hatuna uhakika wa kuzileta mana mpaka tuzikute huko kwenye magodown, unaweza kwenda ikawa hamna stoke, so tukizikuta tunapakia, kama hamna tunachukua tutakazozikuta
Poa kiongozi, ila kwa uzoefu wako kuna zina tofauti yoyote hizi hisense na tcl? Maana, kuna baadhi ya features sijaziona kwenye tcl
Uko wap
Uko wap
Mtendeni Zanzibar
chief mimi pia nataka screen ya samsung inch 32Umeandaa shing' ngapi? Ninayo mpya ktk box, 1.45 million tu
Watafutie nyingineNimeshaiuza kitambo mno na kuna wateja wngn wamekosa walitaka kama hiyo kwa bei hiyo hiyo ya 400000
mkuu nipm ninayo kwangu mawili makubwa siyatumii kabisaMadish ya zaman mnauzaje?
Ushauri wako mzuri sana mkuu maana unaambiwa star x inch 32 ni 270000 lkn hadi kufika dar es salaam ni 360000, sasa mkuu awe anaweka bei za dar moja kwa moja maana watu wengi wakiona ivyo wanajua bei kitonga sana kumbe sio kitonga sanaMkuu nakushauri usituwekee bei za zanzibar tuwekee bei za bara maana tunaona kama cheap kumbe tofauti
Mkuu nakushauri usituwekee bei za zanzibar tuwekee bei za bara maana tunaona kama cheap kumbe tofauti
Ushauri wako mzuri sana mkuu maana unaambiwa star x inch 32 ni 270000 lkn hadi kufika dar es salaam ni 360000, sasa mkuu awe anaweka bei za dar moja kwa moja maana watu wengi wakiona ivyo wanajua bei kitonga sana kumbe sio kitonga sana
Mwisho bei zake si mbaya sana zina ridhisha ila afuate ushauri wako mkuu au akitaka awe anaandika bei zote mfano kwa zanzibar ni shilingi kazaa kwa dar ni shiling kazaa
Aiseeehh ni kwanini inakuwa hivyo? hebu tupe elimu mkuu,yaani kupeleka kigoma ni simple kuliko kupeleka dar!!!!!!Nani kakuambia mpaka ikifika dar ni 360000 mkuu? Kwa hii 32" mpaka ikifika dar ni 320000, mnajua bora tv kuituma kigoma ni rahisi kuliko kuituma hapo dar? Alieko mikoani hii anaweza kuipata kwa 310000 tu
Aiseeehh ni kwanini inakuwa hivyo? hebu tupe elimu mkuu,yaani kupeleka kigoma ni simple kuliko kupeleka dar!!!!!!
Ni kweli kabisa mkuu niko lindi wilayani nachingwea ila mzigo hua nai pata bei kitonga kabisa nami nauza kama retails maisha yanaenda, mlioko lindi, masasi, nachingwea, ruangwa, au mko mzima wa lindi na mkoa wa mtwara, ndugu yetu anatufaa sana sana huez amini starx nchi 32 kusin usipokua makini wanakuuzia hadi laki sita kamili,Mikoani tunatumia posta kusafirisha, mikoani ikifika haina usumbufu wa tra, mteja anaenda na kitambulisho chake anachukua mzigo wake, dar TRA wanakomoa kwa mizigo inayotoka Zanzibar, kama sio mzoefu unaweza kujuta kwann umenunua huku, lengo nyinyi msinunue huku, mnunue huko huko dar
Shukran mkuu, Mungu akubarik sanaNi kweli kabisa mkuu niko lindi wilayani nachingwea ila mzigo hua nai pata bei kitonga kabisa nami nauza kama retails maisha yanaenda, mlioko lindi, masasi, nachingwea, ruangwa, au mko mzima wa lindi na mkoa wa mtwara, ndugu yetu anatufaa sana sana huez amini starx nchi 32 kusin usipokua makini wanakuuzia hadi laki sita kamili,