Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hizo mkuu hatuna na hatuna uhakika wa kuzileta mana mpaka tuzikute huko kwenye magodown, unaweza kwenda ikawa hamna stoke, so tukizikuta tunapakia, kama hamna tunachukua tutakazozikuta
poa nimeiona. Vip kuhusu hizo hisense smart 32 ni kwamba zimeisha mpaka muagize nyingene au hamna mpango huo kabisa
 
Hizo mkuu hatuna na hatuna uhakika wa kuzileta mana mpaka tuzikute huko kwenye magodown, unaweza kwenda ikawa hamna stoke, so tukizikuta tunapakia, kama hamna tunachukua tutakazozikuta
Poa kiongozi, ila kwa uzoefu wako kuna zina tofauti yoyote hizi hisense na tcl? Maana, kuna baadhi ya features sijaziona kwenye tcl
 
Star x led 32" mpya
Bei 270000
0777650286, 0718919725
20191023_164156.jpeg
IMG-20191023-WA0021.jpeg
 
Mkuu nakushauri usituwekee bei za zanzibar tuwekee bei za bara maana tunaona kama cheap kumbe tofauti
 
Ushauri wako mzuri sana mkuu maana unaambiwa star x inch 32 ni 270000 lkn hadi kufika dar es salaam ni 360000, sasa mkuu awe anaweka bei za dar moja kwa moja maana watu wengi wakiona ivyo wanajua bei kitonga sana kumbe sio kitonga sana

Mwisho bei zake si mbaya sana zina ridhisha ila afuate ushauri wako mkuu au akitaka awe anaandika bei zote mfano kwa zanzibar ni shilingi kazaa kwa dar ni shiling kazaa
 
Sio wabara tu wanaonunua eti, wapo wa Zanzibar pia, isitoshe sio kila alieko bara anatka asafirishiwe, mwengn humuagiza ndugu yake alieko huku Zanzibar akaja ofcn kumchukulia, so siwezi kueka bei nikajumuisha pa1 na usafir
Mkuu nakushauri usituwekee bei za zanzibar tuwekee bei za bara maana tunaona kama cheap kumbe tofauti
 
Nani kakuambia mpaka ikifika dar ni 360000 mkuu? Kwa hii 32" mpaka ikifika dar ni 320000, mnajua bora tv kuituma kigoma ni rahisi kuliko kuituma hapo dar? Alieko mikoani hii anaweza kuipata kwa 310000 tu
Ushauri wako mzuri sana mkuu maana unaambiwa star x inch 32 ni 270000 lkn hadi kufika dar es salaam ni 360000, sasa mkuu awe anaweka bei za dar moja kwa moja maana watu wengi wakiona ivyo wanajua bei kitonga sana kumbe sio kitonga sana

Mwisho bei zake si mbaya sana zina ridhisha ila afuate ushauri wako mkuu au akitaka awe anaandika bei zote mfano kwa zanzibar ni shilingi kazaa kwa dar ni shiling kazaa
 
Nani kakuambia mpaka ikifika dar ni 360000 mkuu? Kwa hii 32" mpaka ikifika dar ni 320000, mnajua bora tv kuituma kigoma ni rahisi kuliko kuituma hapo dar? Alieko mikoani hii anaweza kuipata kwa 310000 tu
Aiseeehh ni kwanini inakuwa hivyo? hebu tupe elimu mkuu,yaani kupeleka kigoma ni simple kuliko kupeleka dar!!!!!!
 
Mikoani tunatumia posta kusafirisha, mikoani ikifika haina usumbufu wa tra, mteja anaenda na kitambulisho chake anachukua mzigo wake, dar TRA wanakomoa kwa mizigo inayotoka Zanzibar, kama sio mzoefu unaweza kujuta kwann umenunua huku, lengo nyinyi msinunue huku, mnunue huko huko dar

Ni kweli kabisa mkuu niko lindi wilayani nachingwea ila mzigo hua nai pata bei kitonga kabisa nami nauza kama retails maisha yanaenda, mlioko lindi, masasi, nachingwea, ruangwa, au mko mzima wa lindi na mkoa wa mtwara, ndugu yetu anatufaa sana sana huez amini starx nchi 32 kusin usipokua makini wanakuuzia hadi laki sita kamili,
 
Shukran mkuu, Mungu akubarik sana
 
Back
Top Bottom