Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Asante kwa maoni na utafitu ulioenda shule
 
Tahadhari: Kwa wale mnaopitapita Istagram, mkikutana na hawa watu wanaojitangaza wanadeal na hizo biashara na kua wapo Mtendeni Zanzibar,
Naambiwa hao watu ni wezi na huku Zanzibar hawapo
Hivo wapuuzeni, ukijichanganya ukadanganywa na price walizoweka ukawatumia hela ndo umeliwa ivo
Usije ukalaumu biashara zote za online ni utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sony led inakwendaje bei na usafiri wa huku dar
 
Wenye tv za kichogo zile za mbele flat nyuma chogo mkuje nahitaji ila iwe kuanzia inchi 21 na kuendelea na isiwe na tatizo lolote nipm....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lg mudic system watts 1000 napata kwa bei ganii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…