TATIZO NI HILI KWA UELEWA WANGU MM
watu wanapenda TV zenye majina makubwa kama samsung sjui LG lakini wanasahau kuwa hizo ni bei kidogo wanataka kwa bei pungufu so mchina hawez kuwatupa watu wake kawatengenezea copy ...mm nipo china elewa nikikwambia kuna copy za brand zote za tv mpka kuna TCL copy ..lg copy ..samsung copy ....kuepukana na hz copy check serial number ipo kwenye every original smart tv ...kwa hz nyingne sina uhakika ....tukiachana na hayo kwa research nilioifanya mm TCL ndio best affordable company made by chinese coz nmelinganisha skyworth, hisense which ni chinese brands n mostly tcl ina picha nzur zaid na quality nzur ndio maana wameweza kuuza piece nying kwa nchi za europe na marekani .....so kama unahitaj TV yenye picha nzur na smart Kwa bei nafuu TCL original ndio your goal hz nyingne ni nzur lkn hazijaifikia ....the rest majina ya ajabu ajabu hapo utapata ktu kwa hela ulioitoa ...hayo ndio maoni yangu
Sent using
Jamii Forums mobile app