Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

iPhone 3 meters USB Charger

Ni ndefu sana that unaweza ukacharge ukiwa mbali na Socket

Zipo 10 pieces tu.

Bei ya USB ni Tsh 15,000 kwa piece moja.

Free delivery kwa Wateja wa DAR ES SALAAM ONLY mikoani tunatuma

Call, text, Whatsapp 0784 757 203
IMG_5064.JPG
 
nauza lg led tv nch 32 bado mpya na imetumika miezi 8 tu lkn ina tatizo la kadi ya kubadilisha kadi kubadili ni tsh 120k pamoja na ufundi so mm naiuza kwa 180k ipo kimara dar 0783166050
 
hii sony ya 450,000 resolution yake ni 1366x768

Naomba nichekie sony 32 yenye resolution 1920x1080

na vipi hiyo 40 inch hapo juu resolution yake,naomba model pia.

Boss naomba angalia hii picha kisha nisaidie huko store

kuniangalizia kama nitapata sony ya sifa hizi (LED TV)

Screenshot_1.png





Abdulwahid

hii MODEL YA 32R300E resolution yake ni 1366x768

haitonifaa kwenye matumizi ninayoyataka,natamani 1920x1080
 
Back
Top Bottom