Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Mimi nimenunua evvoli 43" led tv kwa 500k jana naona ipo vizuri hebu niambieni durability ya hii tv
Sony 2.8m, lg 2.8m, tcl 1.8mNAHITAJI TV SIZE 65" BRAND IWE
LG..STAR X...HISENSE..TCL..SAMSUNG AU SONY
MWENYE NAYO ANICHEK
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ipo jaman, mwenye uhitaji anichekNauza LG utra HD Tv inch 43 kioo hakifanyi kazi,
Kioo kilipata krek siku fundi anaifunga, ikiwa haijatumika
Sent using Jamii Forums mobile app
43" kwa 650000
0777650286, 0718919725View attachment 1299130View attachment 1299134
Sent using Jamii Forums mobile app
NAUZA NA KUFUNGA VIOO VYA TV AINA MBALI MBALI KUANZIA INCH 24 MPAKA 55
Location: Jengo la biashara machinga complex karume Jengo la upande wa Ilala
Time: Jumatatu-Jmosi kuanzia saa 3 asubhui mpka saa 2 usiku
Call: 0652608010 Michael
Wadau wa MIKOANI vioo atuvitumi ilete TV offsini ufungiwe
Bei....inch 24 display ni 200000/
Inch 32 display ni 300000/=
Inch 43 display ni 500000/=
Inch 49 display ni 700000/=
Inch 55 display ni 850000/=
Hizo bei ya display ni pamoja na ufundi..ukitaka nikuuzie kioo kama kioo ili ubebe ukafunge mwenyewe UNAUZIWA PIA..ILA KIOO kikitoka akirudi offisni Tena..bei ya kioo bila ufungaji Toa elfu 30 ktk kila bei za hapo juu....KARIBUNIView attachment 1361885View attachment 1361886View attachment 1361888View attachment 1361889View attachment 1361890
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mafundi kama mpo mniambie kama inatengenezeka au laa. Kama inatengenezeka gharama itakua sh.ngapi?
Na sina ujuzi na tv kabisaa hapo hata ukiniuliza ni ya nch ngapi kwa kweli sijui.View attachment 1347640View attachment 1347642View attachment 1347643
Sent using Jamii Forums mobile app
Star x LED inch 43
Full HD ina double screen ( screen protector) - new tv
Location: Dsm ubungo
Price: 590,000/- tshs
Mob: 0766711414
View attachment 1356854View attachment 1356855View attachment 1356856View attachment 1356857View attachment 1356858
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambae ana tv lg nch 32 na imeharibika kioo naweza muuzia yangu kioo kwa bei chee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki kwa namba hii 0754041208.Wakuu habar nataka Tv iwe used au mpya ili mlad tu iwe nzima ikiwa used sawa ila iwe clean 43+ offer 450,000/=
Campuny :- yyte
Sent using Jamii Forums mobile app