Nilimwambia aiwashe nikwambia anioneshe serial no akaikosa, sema ilikuwa inaonekana smart kabisa ingawa inaprogram chache, program kama u-tube sikuionaHapo mkuu hatuwezi sema ila kwa hiyo bei ngumu kuamini kua ndio yenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sisi wa Dar es salaam mkuu hiyo ofa haitupati?Kama upo Mbeya, Mtwara, Singida au Morogoro kwa sasa unaweza kulipa Cash on delivery,
Hii ni kwa wale wote walio waoga wa kuibiwa na wanaosita kulipia mzigo kabla kufika.
Agiza chochote tukuletee utalipa mzigo ukifika
Muhimu kuwa serious, usitujaribu
Ahsanteni
0777650286/0718919725View attachment 1408019View attachment 1408020View attachment 1408021View attachment 1408022View attachment 1408023View attachment 1408024View attachment 1408025View attachment 1408027
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar tulikua na huo utaratibu ila tulisitisha baada ya watu wengi kutusumbua bila ya kua na nia kuitaji chochote, anakuambia anataka, Unamtumia, unagharamika usafir na kodi ya tra inafika unamuambia tayar mzigo ushafika nenda kalipie uchukua mzigo wako anakata sim na ukimpigia hapokei tenakwa sisi wa Dar es salaam mkuu hiyo ofa haitupati?