Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Sawa bossSawa mkuu tutaongea ila tayari tumeshapata mdau wa kufanya hiyo kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisense led 43" ya mdau dar leo
Naam tunaendelea kutoa huduma bora kwa gharama nafuu
0777650286/0718919725
KaribuniView attachment 1439795View attachment 1439798
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nawapongeza sana kwa ufanisi mlio uongeza kwenye kaz yenu,mteja anapunguza wasiwasi pia bei yenu ni rafiki kwa mteja,Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga
Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako
Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahdante mkuuMkuu nawapongeza sana kwa ufanisi mlio uongeza kwenye kaz yenu,mteja anapunguza wasiwasi pia bei yenu ni rafiki kwa mteja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Vioo hatuna mkuuMkuu ninatv yangu Samsung inch 32 watotot walipasua kioo, kunawezakuwa na spere ya display na ni sh ngapi kwa hyo TV yang?
Mkuu tayar tumeshalipatia ufumbuzi tatzo lako, sasa unaweza kuagiza unachotaka ukalipa baada ya mzigo kufikaMkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...
Jitahidi tafadhali maana Moro na Dom sio mbali tusaidie kwa hilo, Dom saiv kuna watu wengi sana naamini utapata biashara ya uhakika maana wafanyabiashara wa Dom wana bei za ajabu ajabu sana alafu wanajiona kweli kweli kwakuwa wako wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa kuzingatia ushauri wangu kwa kuiongeza Dodoma miongoni mwa mikoa ya pay on delivery.Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga
Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako
Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisense led 43" ya mdau dar leo
Naam tunaendelea kutoa huduma bora kwa gharama nafuu
0777650286/0718919725
KaribuniView attachment 1439795View attachment 1439798
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga
Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako
Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuuAsante sana kwa kuzingatia ushauri wangu kwa kuiongeza Dodoma miongoni mwa mikoa ya pay on delivery.
Nitakuunga mkono very soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu subira tu na huko tutafika, malengo yetu mikoa yote watu walipe baada ya mzigo kufika kwa yyt mweny shakaBaada ya dar, kibiashara tawi linalofuata ni Mwanza na Arusha, Sasa wewe umetumia kigezo gani kuacha mahela mengi ya Mwanza na kufuata vihela vichache vya lindi, singida, mtwara,nk?
Lete tv Mwanza bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas sawa kiongozMkuu subira tu na huko tutafika, malengo yetu mikoa yote watu walipe baada ya mzigo kufika kwa yyt mweny shaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ona 4k ya inch 32
Zipo kuna Tv za Sunday hadi inch 24 ni 4KSijawahi ona 4k ya inch 32
Dumelang