Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hisense led 43" ya mdau dar leo
Naam tunaendelea kutoa huduma bora kwa gharama nafuu
0777650286/0718919725
Karibuni
IMG_20200504_190146_240.jpeg
IMG_20200502_115922.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga

Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako

Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nawapongeza sana kwa ufanisi mlio uongeza kwenye kaz yenu,mteja anapunguza wasiwasi pia bei yenu ni rafiki kwa mteja,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi watu wa Dodoma tuwe na option ya kulipa on delivery...

Jitahidi tafadhali maana Moro na Dom sio mbali tusaidie kwa hilo, Dom saiv kuna watu wengi sana naamini utapata biashara ya uhakika maana wafanyabiashara wa Dom wana bei za ajabu ajabu sana alafu wanajiona kweli kweli kwakuwa wako wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tayar tumeshalipatia ufumbuzi tatzo lako, sasa unaweza kuagiza unachotaka ukalipa baada ya mzigo kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga

Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako

Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa kuzingatia ushauri wangu kwa kuiongeza Dodoma miongoni mwa mikoa ya pay on delivery.

Nitakuunga mkono very soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga

Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako

Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya dar, kibiashara tawi linalofuata ni Mwanza na Arusha, Sasa wewe umetumia kigezo gani kuacha mahela mengi ya Mwanza na kufuata vihela vichache vya lindi, singida, mtwara,nk?
Lete tv Mwanza bana

Mkuu subira tu na huko tutafika, malengo yetu mikoa yote watu walipe baada ya mzigo kufika kwa yyt mweny shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom