Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

unaweza nitumia Tabora, then nikalipia huku kamautakuwa na wakala au mtu unayemfaham, TV angalau 50" (brand TCL, Hisence, Lg au Samsung)?
 
Tabora bado hatuna cash on delivery
Ulitaka unalipia kwanza ndo tunakusafirishia mzigo, ila kwa uhakika kabisa utaupata mzigo wko bila aina ya yoyote ya ubabaishaji
So tuamini tukuletee kilichobora kwa gharama nafuu
unaweza nitumia Tabora, then nikalipia huku kamautakuwa na wakala au mtu unayemfaham, TV angalau 50" (brand TCL, Hisence, Lg au Samsung)?
 
JIPATIE TV ZA KODTEC KWA BEI POA SANA CALL 0762027102, kwa Dar usafiri popote ni Bure
 
Tcl 55" to Iringa
Hisense 32" to Singida
Ahsanteni sana
Tunaendelea kukupatia kilicho bora kwa gharama nafuu popote ulipo
Karibuni sana
 
Hisense smart 49" kwa mdau Kivule Dar es salaam
Inapokewa na wakala wetu Seif Hamed
Kisha tunampelekea mdau hadi nyumbani kwake kivule, malipo ni baada ya mteja kupokea tv yake
Karibuni nyote
0777/650286/0718919725
 
Kwa wakazi wa Morogoro huyo ndo wakala wetu, Mr Stephen Wilson

Hiyo imeagizwa na mteja, ataippkea Mr Stephen na kuipeleka kwa mteja
Mteja atalipa baada ya kupokea tv na kujirisha

Ahsanteni tunaendelea kuwasogezea huduma.kwa gharama nafuu tena bila chenga chenga yyte
Wakazi wa Morogoro agiza unachotaka utalipia huko mzigo ukifika
0777650286/0718919725
 
Jamani kwa mbeya kuna mtu anahitaji TV bajeti 300000/= iwe inchi kuanzia 32
Iwe TV mzuri na ngumu ata kama used
 
Kuwarahisishia wana Dar es Salaam tunapeleka mzigo Dar es Salaam
Kwa wakazi wa Dar hutasubiri tena Mzigo it utoke Zanzibar, upo hapo hapo dar
Mda utakaosema uletewe utaletewa mda huo huo
0777650286/0718919725
Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…