Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Spea zipo, tv ziko poa tu, Tunapatikana Mtemdeni Zanzibar na Dar Kigamboni
Bei kama upo Zanzibar 32" 250000, 43" 480000
Kama upo dar 32" 290000, 43" 550000
1. Spea zake zipo za kutosha mkuu? 2. Ziko vizuri lakini mkuu? 3.Halafu mnapatikana wapi?

Nahitaji TV nzuri bajeti yangu ni Tshs 300000-500000/=
 
Spea zipo, tv ziko poa tu, Tunapatikana Mtemdeni Zanzibar na Dar Kigamboni
Bei kama upo Zanzibar 32" 250000, 43" 480000
Kama upo dar 32" 290000, 43" 550000
Broo unasony home theatre wireless speaker watt 1000
 
wakuu kama kuna mtu ana box la tv inch 49 hisence tufanye biashara
tafadhari
 
sijakuelewa mzee.haitumii wire ni wireless alafu inatoa sauti kwenye Tv,lakini Tv hizi flat si hazina bluetooth ? sasa hiyo sauti itatoka vipi kwenye Tv kwenda kwenye hii speaker ?
 
Spea zipo, tv ziko poa tu, Tunapatikana Mtemdeni Zanzibar na Dar Kigamboni
Bei kama upo Zanzibar 32" 250000, 43" 480000
Kama upo dar 32" 290000, 43" 550000
Kigamboni mpo kwa wapi mkuu? Maana nipo kigamboni hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…