Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Spea zipo, tv ziko poa tu, Tunapatikana Mtemdeni Zanzibar na Dar Kigamboni
Bei kama upo Zanzibar 32" 250000, 43" 480000
Kama upo dar 32" 290000, 43" 550000
1. Spea zake zipo za kutosha mkuu? 2. Ziko vizuri lakini mkuu? 3.Halafu mnapatikana wapi?

Nahitaji TV nzuri bajeti yangu ni Tshs 300000-500000/=
 
Spea zipo, tv ziko poa tu, Tunapatikana Mtemdeni Zanzibar na Dar Kigamboni
Bei kama upo Zanzibar 32" 250000, 43" 480000
Kama upo dar 32" 290000, 43" 550000
Broo unasony home theatre wireless speaker watt 1000
 
wakuu kama kuna mtu ana box la tv inch 49 hisence tufanye biashara
tafadhari
 
SAMSUNG soundbar hii ni kwa ajili ya kutoa sauti kwenye tv tu.. ina sound kali sanaaa kwenye movie.. pia music wake quality sana
ina optical audio na audio aut cable
haina radio wala Bluetooth
subwoofer yake unaweka popote haitumi waya ni wireless
0713799522View attachment 1495450View attachment 1495451View attachment 1495452View attachment 1495453

sijakuelewa mzee.haitumii wire ni wireless alafu inatoa sauti kwenye Tv,lakini Tv hizi flat si hazina bluetooth ? sasa hiyo sauti itatoka vipi kwenye Tv kwenda kwenye hii speaker ?
 
Back
Top Bottom