Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Bei nzuri sana ,unapatikana wapi mkuu? Mkoani Arusha hiyo ya 65" gharama za usafiri Tsh ngapi?
Hizo bei ni kwa Ndege au kwa Bus mkuu? Je nikiisubiri Bandarini Dar inakuwaje price yake?Tupo Zanzibar mkuu, 65" usafir hadi arusha ni 250000
Hizo bei ni kwa Ndege au kwa Bus mkuu? Je nikiisubiri Bandarini Dar inakuwaje price yake?
Ok kumbe hiyo 250,000/= na gharama za Kodi?Posta, ukiisubir bandarin bei gharama za usafir na kodi ndo hizo hizo
NdioOk kumbe hiyo 250,000/= na gharama za Kodi?
Nafikiri ni zile zinakuwa kama hazina frame ya pembeni inayozunguka kioo. Kama hii hapa
View attachment 1624195
Mkuu hisense 32" smart mpaka Songea ruvuma itanifikia kwa tshngapi?New stock, new models
Hisense FRAMELESS tvs
LED 32" 300000
Smart 32" 380000
Smart 43" 630000
Smart 4k 43" 680000
Smart 49" 780000
Smart 4k 50" 900000
Smart 4k 55" 1100000
Smart 4k 65" 1600000
0777650286/0718919725
Karibuni nyoteView attachment 1622879View attachment 1622880View attachment 1622881View attachment 1622882View attachment 1622883
Mkuu hisense 32" smart mpaka Songea ruvuma itanifikia kwa tshngapi?
420000
Total pamoja na manunuzi inakuwaje!?
Sawa mkuu ntakucheki... Bei zako ni rafiki420000
Sawa mkuu ntakucheki... Bei zako ni rafiki
Nipo hapa town kabisa mkuu,uliza swali lako ila kwenye pmMkuu hapo uko singida mjini ,nina maswali kidogo kuhusu huo mkoa
Tcl 4k uhd 55 inch ulizonazo zinatumia android OS? Na pia naomba unitajie model yakeHisense smart 49" & 43" zote Dodoma kwa wadau
Asanteni kwa support yenu
0777650286/0718919725View attachment 1626201View attachment 1626202View attachment 1626203View attachment 1626204
Hizo frameless ambazo siyo smart bei gani 43 na 49?New stock, new models
Hisense FRAMELESS tvs
LED 32" 300000
Smart 32" 380000
Smart 43" 630000
Smart 4k 43" 680000
Smart 49" 780000
Smart 4k 50" 900000
Smart 4k 55" 1100000
Smart 4k 65" 1600000
0777650286/0718919725
Karibuni nyoteView attachment 1622879View attachment 1622880View attachment 1622881View attachment 1622882View attachment 1622883
Hizo frameless ambazo siyo smart bei gani 43 na 49?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Tcl 4k uhd 55 inch ulizonazo zinatumia android OS? Na pia naomba unitajie model yake