Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mapema jana, hisense smart 43", frameless kwa mdau Arusha
IMG-20201123-WA0006.jpeg
IMG-20201123-WA0007.jpeg
 
Samsung Crystal 65" to Arusha
Hisense frameless 65" to Dodoma
TCL SMART ANDROID 55" to Singida
Alhamdulillah, hizi zote zilikua kazi za leo kwa wadau maeneo husika walioamua kufanya kazi na sisi
Tunawashukuru na Allah awabariki
IMG_20201125_195852_854.jpeg
IMG_20201125_125159_521.jpeg
IMG_20201125_122457_799.jpeg
IMG_20201125_124639_872.jpeg
IMG_20201125_125159_524.jpeg
IMG_20201125_124639_871.jpeg
 
Ukiwa na kiasi cha sh 270,000/= unaweza pata TV flati nchi 32 ya kukaa mezani? Naomba kujibiwa nipo Tanga -Handeni barabara kuuu kuelekea Tanga mjini au Arusha.
 
For Sale Haier androidTv
Nauza Tv za kisasa za Haier
Size: Inch 55" na 65" ULTRA HD TV
Series : K6600
Brand New with warranty card mwaka mmoja
Location : Arusha
Price inch 55"1.3k, 65" 1.8k
20201120_092100.jpg
20201120_092033.jpg
IMG-20201016-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom