Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung curved 55"
Brand new
Price: 1550000 tu
0777650286/0718919725
Karibuni nyote
IMG_20201212_105711_206.jpeg
 
Nashkuru mkuu kwa ushauri wako, ila wapo ambao wamefanya hivo humu, ukipitia post za juu utaona, kingine wengne hua hawapendi kujionesha japo kua wanatumia fake ID
Mkuu ungejaribu kuwaomba wateja ambao tayari umeshafanya nao biashara wawe wanaleta mirejesho ili kukupa credit hapa jukwaani kwa watu ambao wanaweza kuwa na wasiwasi kwenye biashara yako kiongozi...!
 
Kitu kingene ndugu kukuhakikishia usalama kuna maeneo unaweza kuagiza ukalipa baada ya kupokea, kama Dar, Mbeya, Lindi na Mtwara, Dodoma na hata Singida

Niliomba list ya subwoofer ulizonazo specifications na price
 
Back
Top Bottom