Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

nahita tv yeyote ile inch 43 kwa 350
[emoji1787]
IMG_20210526_191106.jpg
 
Kila la heri mkuu,

Abdulwahid kaanza KUFANYA biashara ya tv Miaka na Miaka tuko Naye humu ndani.

Sijawahi kuskia kamdhulumu yeyote humu ata thumni.
Na hata Kama kungekua na malalamiko Basi tungeona nyuzi Watu wakilalamika.

Na kibiashara angekua ni mtu mbabaishaji au mdhulumaji, Basi asiweza kuexist Miaka yote hii humu ndani akiuza TV kila kukicha.
Nakubaliana na wewe kwa 100% nimenunua LG Hometheater, TCL 32 na Evolli TV nimezipata kwa wakati sahii.
 
Back
Top Bottom