Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuna Blackstone Smart tv 45" inapatikana kwa 520,000/=. Kama unahitaji piga hii namba 0748288925,iko Tabata Bima Dar es Salaam.
 
Naomba kujua bei ya kioo cha lg 43 smart ni sh ngap...nimeidondosha imeweka crake.
 
Nataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?

Wajuzi swali kwenu majibu kwangu
Hatimae nikajilipua Nairobi nikapata mzigo wangu wa TCL QLED

Japo Nairobi niliambiwa Kuna matapeli kibao mmoja wao n yule niliesema ataniuzia kwa Ksh 40,000/= kumbe ukilipa anakuja boss wao anasema hyo tv haiuzwi kwabei hyo hvyo ongeza pesa na pia ikitoa hela hairudi hvyo ukicheza unaeza rudi nyumbani na virton 32ich.

in

Nashukuru nilipata duka salama nikaudumiwa vizuri saiz nakula mzigo wa TCL taratibu
 
Qled ndio inakuwaje mkuu?
Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.

Alafu TCL wamejiongeza hizi tv zinakuwa na sound bar ya nje Ila Ile yenye sound bar ya ndani inakuwa na camera hvyo unaeza itumia kwenye tv au PC
 
Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.

Alafu TCL wamejiongeza hizi tv zinakuwa na sound bar ya nje Ila Ile yenye sound bar ya ndani inakuwa na camera hvyo unaeza itumia kwenye tv au PC
Nzurii basi...nitasubiri Abdulwahid alete.
 
Mkuu me hizo nnazo zamani mbona, huyo mdau hakusema anataka 55, alisema anataka 65" 55" me nauza 1.65m
Na mimi nataka 65" maana 55" ulishaniuzia ile ya 4k. Si utaleta 65".
 
LG 43 inch LED TV @ 925,000tsh. For sale.

[emoji736]Ni mpya kabisa
[emoji736]usafiri bure
[emoji736]hdmi bure
[emoji736]bracket bure
[emoji736]1 year warranty

Tupigie 0744551655 kwa maelezo zaid au fika dukani kwetu magomeni kwa amaelezo zaidi.
 

Attachments

  • IMG_4857.jpg
    1,006.2 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…