Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nina laki 500,000 tsh natafuta used tv inchi 43 smart kati ya HIsense,Skyworth,Samsung LG
 
star x 32"
Mkuu, star x 40", 42"na 43" (sio smart tv) bei zipoje? Nahitaji moja kati ya hizo (itadepend na bei)

vipi huku mikoani mnatuma?

na uaminifu upoje nnapotuma hela kabla mzigo unifikie kwa sababu watu wengi si waaminifu ndugu hapo tu ndo tunapata shida kwenye mauziano ya mtandaoni.
 
tunazo 42 tunauza 550000
kuhusu uaminifu pitia maoni ya wadau humu wanaongeaje kuhusu mimi
 
tunazo 42 tunauza 550000
kuhusu uaminifu pitia maoni ya wadau humu wanaongeaje kuhusu mimi
Sawa mkuu , labda niseme bnafsi sina utaalamu sana wa kufaham tv orginal na tv fake ila hiyo 42 ni sawa na naona itanifaa.

Nadhan bei ndo tuzungumze
 
UNALETEWA MBAKA MLANGONI
TALK WITH US 0766648278
20220328_165843.jpg
20220328_170434.jpg
20220328_171032.jpg
 
Nina nyumba ya kulala wageni yenye vyumba Saba.
Nataka kuweka TV kwenye vyumba vyote ambapo kila chumba kutwezekana kubadili chaneli kadiri utakavyo.
Nahitaji kufanyaje na vifaa Gani vinahitajika kuwezesha Hilo liwezekane.
Vifaa hivyo vinaweza kugharimu pesa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom