Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

LAPTOP hp notebook
Ram 4gb
Internal Disk 500Gb
Haina Damage yyte
Imetumika only 5 months(Nilinunua Shop ikiwa mpya)
Inakaa na moto sio chini ya 6/7 Hrs

Sababu ya kuiuza-Nimepata kubwa zaidi

Bei ya Kuokota kabisa=350,000
LOCATION-Mwanza

Namba-0764 372652
Au. 0626 579795

Karibuni
 
Picha yake ukiitazama vizr kioo mbona kama kimepasuka

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Vifaa vichache tu, sema vitakavyokugharimu ni kununua receiver za kutosha inategemea unataka kuwa na chanel zipi kwako maana kama kila chumba unataka kiwe na uhuru wa chanel yake lazima ununue za kutosha sawasawa na unataka chaneli ngap ziwe hewani.

Lkn kama unataka kila chumba Chanel ile ile ila inabadilishiwa kaunta au control room hapa uta save gharama. Ili usisahau kununua booster ili ubora wa picha uwe sawa vyumba vyote . Mara nyingi mafundi wengi wanaacha hii kitu unakuta chanel vyumbani chenga kama tv za zamani.
 
-Receivers (decoders) [idadi inakuwa sawa na channel unazotaka]
-RF Modulator
-RF Amplifier
-Splitters
-RG6 Coaxial cable
-F Connectors
-AV cables
-Satellite dishes

Nicheki mkuu hizi ndio kazi zangu 0764 453848
 
natafuta remote ya TCL....mwenye nayo anijuze tufikie muafaka
 
Natafuta deki ya sony home theater system 1000k model dz 350 0738253942
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…