Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji TV 17" iliyo bapa ambayo ni nzuri na inayofaa kwa matumizi ya nyumba ya kulala wageni.
Naomba aina na bei yake.
 
Nahitaji TV flat screen inch 32 used au mpya.

Isiwe na tatizo lolote.

Ofa yangu ni TSH 240,000/=

Nipo Dar es Salaam.
 
Nahitaji tv inch 25 pesa ipo mfuko wa shati naifuata popote hapa Dar
 
Mwenye 32 inches flat tv nahitaji.

Ofa yangu inaanzia 200K itapanda kulingana na hali na features za TV.
 
Samsung 55” QLED A60 2021 naipata kwa bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…