Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji TV Hisence mpya
LED UHD 4k

Size hizi 40' , 42' au 43'
Wekeni bei na duka lilipo nije kuchukua mzigo.
 
65" smart 4k 1600000
Ni uvumilivu tu ulinishinda kumbe uwezekano wa kupata chini ya bei niliyouziwa ulikuepo kabisa,daaah!

nimechukua hiyo 65 kwa 1.7, leo bwana dula bei ni 1.6 asee maisha haya hayana formula kabisa,sio mbaya lakini.

Mkuu kwa bei hizo sijui kama utamaliza mwezi na hizo 65 na 70,sijui, najikusanya next week nijie hiyo 70 itantosha sanaa, watu wale world cup kwa mrija.
 
Karibu mkuu
 
Evvoli Kuna ya inch 43.
Smart TV
4k
Used 1 month
Bei 600,000
Maongezi yapo
Ipo Dar es Salaam
 
New stock: Sony Sound bars

1. HTS350, Power 300W Bei 530000
2. HTS20R, Power 400W, Bei 550000
3. HTS400, Power 400W, Bei 600000
4. HTS40R, Power 600W, Bei 800000
5. HTS500, Power 1000W bei 920000
6. HTS700, Power 1000W bei 1200000

View attachment 2334178View attachment 2334179
Tupo Mtendeni Zanzibar
0777650286
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…