Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
Ulichoongea ni kweli Ila uwezo mtu wa Hali ya chini Hana option Zaid ya kununua hizo za Bei ya chiniHivi haya makampuni mapya yasiyojulikana TV zake ni Quality kweli? Maana tumeshazoea Tv kutoka kampuni kubwa mfano, Sony bravia, LG, Samsung , Hitachi, Phillips, Sharp, JVC , Panasonic, zaza hivi zimekuja kampuni ngeni kwa sisi tuliyozoea wazee wetu wakinunua TV za makampuni makubwa
Hapo Hisense sio ya hali ya chiniHivi haya makampuni mapya yasiyojulikana TV zake ni Quality kweli? Maana tumeshazoea Tv kutoka kampuni kubwa mfano, Sony bravia, LG, Samsung , Hitachi, Phillips, Sharp, JVC , Panasonic, zaza hivi zimekuja kampuni ngeni kwa sisi tuliyozoea wazee wetu wakinunua TV za makampuni makubwa
Hisense ndio tv namba 1 kwa mauzo ChinaHapo Hisense sio ya hali ya chini
Mkuu hivi najuaje ukubwa wa Nch? Mfano kuna tv nataka samsung nch 75,nini naangalia kujua kweli ni nch 75?Lg tv, New stock, New price
SIZE MODEL PRICE
43" 43UP7750 1,000,000
50" 50UP7750 1,200,000
55" 55UP7750 1,320,000
65" 65UP7750 1,900,000
75" 75UP75006 2,950,000
Karibu kwa wale wa "Waraibu" wa Lg
0777650286View attachment 2337727View attachment 2337728
Nahitaji inch 28 mkuuu bei gan?Offer offer zunne 32 single.....tsh 225,000/= usiseme hujaambiwa
Kama unayo nyingine nicheki inbox ..Nimeshakucheki WhatsApp
Kwa hio unaamini kabisa kua hisense unazoletewa Bongo na kusini mwa jangwa la sahara ni sawa na inayoenda Amerika. Tunaletewa midosho sana nilishaona hisense jamaa alitumiwa tok Uingereza hio model niliisaka bongo nikaikosaHisense ndio tv namba 1 kwa mauzo China
Hisense ndio tv namba 2 kwa mauzo ulimwenguni
Hisense ina dhamini kombe la dunia Qatar
Hamna inch 28 Bali ziko zifuatazoNahitaji inch 28 mkuuu bei gan?
Nipo morogoro
😅Elfu 30 Tzs auNina elfu 30 natafta tv ya kuanzia nch,21 panda juu arusha au mosh
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Hauko seriousAbdulwahid Nna 470,000/= naweza kupata Hisense TV mpya 43" smart 4k?
Pesa ipo cash hapa
Nimekosea nahitaji hisense 43" resolution 1080 pixels nna 470'000/=Hauko serious
ImeandikwaMkuu hivi najuaje ukubwa wa Nch? Mfano kuna tv nataka samsung nch 75,nini naangalia kujua kweli ni nch 75?