Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hivi haya makampuni mapya yasiyojulikana TV zake ni Quality kweli? Maana tumeshazoea Tv kutoka kampuni kubwa mfano, Sony bravia, LG, Samsung , Hitachi, Phillips, Sharp, JVC , Panasonic, zaza hivi zimekuja kampuni ngeni kwa sisi tuliyozoea wazee wetu wakinunua TV za makampuni makubwa
Ulichoongea ni kweli Ila uwezo mtu wa Hali ya chini Hana option Zaid ya kununua hizo za Bei ya chini
 
Hivi haya makampuni mapya yasiyojulikana TV zake ni Quality kweli? Maana tumeshazoea Tv kutoka kampuni kubwa mfano, Sony bravia, LG, Samsung , Hitachi, Phillips, Sharp, JVC , Panasonic, zaza hivi zimekuja kampuni ngeni kwa sisi tuliyozoea wazee wetu wakinunua TV za makampuni makubwa
Hapo Hisense sio ya hali ya chini
 
Lg tv, New stock, New price

SIZE MODEL PRICE
43" 43UP7750 1,000,000
50" 50UP7750 1,200,000
55" 55UP7750 1,320,000
65" 65UP7750 1,900,000
75" 75UP75006 2,950,000
Karibu kwa wale wa "Waraibu" wa Lg
0777650286View attachment 2337727View attachment 2337728
Mkuu hivi najuaje ukubwa wa Nch? Mfano kuna tv nataka samsung nch 75,nini naangalia kujua kweli ni nch 75?
 
Hisense ndio tv namba 1 kwa mauzo China
Hisense ndio tv namba 2 kwa mauzo ulimwenguni
Hisense ina dhamini kombe la dunia Qatar
Kwa hio unaamini kabisa kua hisense unazoletewa Bongo na kusini mwa jangwa la sahara ni sawa na inayoenda Amerika. Tunaletewa midosho sana nilishaona hisense jamaa alitumiwa tok Uingereza hio model niliisaka bongo nikaikosa
 
BEI ZA TV
Call/Whatsapp-0713520180
Offer ya January
🎉🎉👊👊🍿
BOSS
32(double)...sh 250,000/=
32(single)....sh 245,000/=
43(smart)....sh 530,000/=

GOOD VISION
32(double)...245,000/=
43(smart double)...500,000/=
SOLAMAX
24(double)...170000
32(single)....230,000/=
32(double)...245000/=
43(smart double)....500,000/=
43(normal single)....480,000/=

ALITOP
21(single).....135,000/=
21(double)....140,000/=
25(single)......185,000/=
32(smart single frameless)...260,000/=
32(smart double frameless)....270,000/=
32(double normal)......230,000/=
40(smart frame)....460,000/=
43(smart frameless)....500,000/=

AILYONS
32(single)....230,000/=
32(double)...245,000/=

EUROPE
32(double)....230,000/=

ZUNNE
32(single).....230,000/=

ABORBER
32(double)....245,000/=
 
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.


Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
 

Attachments

  • IMG-20221214-WA0004.jpg
    IMG-20221214-WA0004.jpg
    53.2 KB · Views: 47
  • IMG-20221214-WA0009.jpg
    IMG-20221214-WA0009.jpg
    101.2 KB · Views: 55
  • IMG-20221214-WA0011.jpg
    IMG-20221214-WA0011.jpg
    115.2 KB · Views: 56
Nikai 43" frameless design 499,000 Bei ya ofa Hisense 40" smart 560,000
 
Hisense sound bar
Wats 120 .....sh 400,000/=
Watts 200.....sh 500,000/=
Watts 320.......sh 600,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
 

Attachments

  • IMG-20221227-WA0028.jpg
    IMG-20221227-WA0028.jpg
    90.6 KB · Views: 52
  • IMG-20221227-WA0027.jpg
    IMG-20221227-WA0027.jpg
    79 KB · Views: 61
  • IMG-20221227-WA0026.jpg
    IMG-20221227-WA0026.jpg
    73.2 KB · Views: 66
TV 32 inch zipo TV 3 ni USED as New kwenye BOX zake

Aina zake

1.Hisense 32 inch ( 340,000)
2.Zunne 32 inch ( 200,000)
3.Solar MAX 32inch (200,000)

TV zote ziko vizuri sana zilikua kwenye ofisi ya Movies Store STORE sasa nazibadilisha niweke TV kubwa zaidi.

Zinapatikana MBEZI MWISHO contact 0786-025-025
 

Attachments

  • IMG_20230104_133830_823.jpg
    IMG_20230104_133830_823.jpg
    886 KB · Views: 57
  • IMG_20230104_133826_182.jpg
    IMG_20230104_133826_182.jpg
    844.1 KB · Views: 59
Back
Top Bottom