Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wakuu, Naweza kupata Kioo cha LG Nch 49?
 
Android Bei imekaaje?
50"/55".
 
KWA WENYE UHITAJI WA VIOO VYA TV AINA ZOTE NA SIZE ZOTE.. NICHEK 0713799522
 
BEI ZA VIOO
INCH 32 @ 160,000
INCH 40 @ 330,000
INCH 43 @ 360,000
INCH 49-50 @ 570,000
INCH 55 @ 800,000
INCH 65 @ 1,200,000
INCH 75 @ 1,500,000
BEI HIZI NI PAMOJA NA GHARAMA ZA UFUNDI.. karibu
0713799522
 
BEI ZA VIOO
INCH 32 @ 160,000
INCH 40 @ 330,000
INCH 43 @ 360,000
INCH 49-50 @ 570,000
INCH 55 @ 800,000
INCH 65 @ 1,200,000
INCH 75 @ 1,500,000
BEI HIZI NI PAMOJA NA GHARAMA ZA UFUNDI.. karibu
0713799522
Duuh! Bei imechangamka sana, ngoja nitafte Tv ingine tu Hii niitupe kama Sklepa tu
 
Nina Hisense Smart 4k nchi 43 bei 610,000 tu, iko poa sana
 
Mkuu Samsung 65" ni bei gani kwa sasa?
 
Kaka hiyo ya 43 mpk Moro inagharimu sh ngp?
 
Akhiy Abdulwaheed hiii 50inches mpaka Dsm kiasi gani
 
-Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…