Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Me nahitaji tv yoyote nchi 50 used njoo nipe bei yako
LG smart 50" kwa 700000 tu na warranty wa mwaka nakupaView attachment 2629105
20230507_142531.jpg
 
Wakuu nimeshindwa kupata TV nchi 50, bajeti yangu ndogo. Kwasasa naomba mwenye kioo cha LG nchi 50 anipe bei yake
 
Kioo bei sana mkuu
Ongea na [mention]Abdulwahid [/mention] pm akuuzie kwa bei nzuri
 
Dodoma
Dodoma
Dodoma
Tv mpya 55'' au 58''
Napata kwa bei gan
Brand hisence, sony, lg
 
KARIBU KARIAKOO MSIMBAZI UBEBE HII ITEL LED TV FRAMELESS KWA BEI YA CHINI ZAIDI.. 195,000 TU..
0713799522
Screenshot_20230520-165737_Facebook.jpg
 
Ukiachana na Samsung, LG, Sony, TCL na Hisense, brand ipi ina ubora angalau naweza kuitumia sehemu ya biashara nikiiwasha kuanzia asubuhi mpaka usiku bila shida yoyote?
 
Back
Top Bottom