Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Ni tv gani inafaa kwa matumizi ya nyumbani katika sebule ya wastani, nahitaji iwe na double screen coz ya watoto.

Kampuni gani tv zake ni imara?
 
Wakuu nimeshindwa kupata TV nchi 50, bajeti yangu ndogo. Kwasasa naomba mwenye kioo cha LG nchi 50 anipe bei yake
Kiongozi Kuna jamaa kanifata kaniambia anacho kioo cha LG 50" ila anasema ni plasma, sijui ww TV yako ni TV gan
 
Habari zenu wakuu..nina tv tcl 55 inch 4K ila kioo kimevunjika kwa mwenye kuitaji sakit anichek pm tafazali
 
HISENSE SMART TV INCH 49
IKO SAFI KABISA
650,000
0713799522
Screenshot_20230613-165735_Facebook.jpg
Screenshot_20230613-165632_Facebook.jpg
 
TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
Screenshot_20230613-234055_Facebook.jpg
Screenshot_20230613-234005_Facebook.jpg
Screenshot_20230613-234033_Facebook.jpg
Screenshot_20230613-234044_Facebook.jpg
Screenshot_20230613-234018_Facebook.jpg
 
SABA SABA OFFER

ROYAL SECURITY SOLUTIONS Tunakufungia mfumo wa cctv camera kwa sh 750,000Tu.
Gharama inajumuisha vifaa kama.
Camera nne , drv 4ch moja , waya roller moja , Router ya internet, Hard disk 500GB, power supply, BNC na power pin .

Mfumo unajumuisha kuangalia kwenye simu janja ukiwa popote duniani ..

Gharama za ufundi ni bure kwa wateja wa dar.

Wahi mapema ofa hii kabambe .
Piga simu sasa 0623137099.View attachment 2674122
Screenshot_20230630-063702.jpg
View attachment 2674121
 
TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544View attachment 2656546
Mkuu nahitaji kioo cha Samsung in 24 ,bei gani, TV yangu iliangka ikawa haionyeshi
 
TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544View attachment 2656546
Mnapatikana wapi?
 
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/=
Unaweza piga/whatsap 0719478826
Deliver nafanya pia ukihitaji✅
Karibu sana
20230714_140734.jpg
 
Back
Top Bottom