Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Pitia hapo juu mkuu, nnazo star x 32" utaongeza 30000 tu kwa ajili ya usafiri kama upo nje ya zanzibar, au kama utakuja mwenyewe ofcn utachukua kwa bei hiyohiyo 320000
Kaka kwema una redio inaitwa samsung air track na tv za 4k zinaendaje
 
Habari. Natafuta kioo cha flat screen ya tcl 25"..kama unafahamu kinapopatikana..
 
Mpaka moshi ni 500000 tu kiongozi, na unaweza kulipa baada ya kupokea mzigo
asante sana kwa majibu, je kwa upande wa home theatre watts 1000 sony inapatikana kwa bei gani? nataka kinu cha uhakika ndani mziki wa kueleweka unachuja vzr!
 
asante sana kwa majibu, je kwa upande wa home theatre watts 1000 sony inapatikana kwa bei gani? nataka kinu cha uhakika ndani mziki wa kueleweka unachuja vzr!
Sony hometheater ya 1000W ipo DZ 650, Bei mpaka moshi 700000
 
Nashukuru sana Abdul Wahid,niliagiza Tv kwako aina ya Star X inch 32 na hii leo nimeipokea ikiwa salama huku Musoma.Nakutakia kazi njema na uendelee na uaminifu huo..
Shukran kiongozi, nakutakia kila la kheri, pia asante na wewe kwa kuniamini
 
Nauza flat screen bei PoA kabisa jina JVC pamoja na simu ukihitaji ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…