Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung inch 50 naeza pata kwa bei gani nipo mbeya na naomba uniweke sawa kat ya smart tv na led kwa maana ya ubora,mtandaoni naweza pata viruses ambao nahici wanawezafanya tv angu kuharibika kwa haraka.kwenye hili unanambieaje au zenyewe hazidownload na kama zinadownload je kuna antivirus?
 
Samsung led 50" andaa 1.4m mpaka inakufika huko mbeya, samsung smart 50" andaa 1.8m mpaka inakufika huko
 
Used Flat Screen Television.
Brand ya TCL.
Usb Port & HDMI.
Inchi 32.
Ipo Kigamboni, Dar es Salaam, Tz
Inamiss kitako.
Bei Tsh 400,000=/
Kwa maelezo zaidi; 0713400952
 
Nataka samsung smart tv 43 nipo kwa siku ya kesho kama itawezekana
 
Tupe bei za hizo...na pia bei za LED kma zipo za kuanzia 40
Samsung smart 40" 1.2m
Samsung smart 48" 1.5m
Samsung led 40" 750000
Samsung led 50" 1.25m
Contact 0777650286 & 0718919725
26985761be4e.jpg[/IMG]
 
TCL smart au LED tv 40" unazo? Bei iko vipi kama unazo...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…