Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

ideal for small shops and the likes, tv chogo inch 14 kwa tshs 50,000/- tel 0625618177
IMG_20161219_112323.jpg
 
Hivi Tv yenye king'amuzi ndani inalipiwaje? Nilichukua samsung toka 2014 ina king'amuzi ndani ila zingine zinashka bure zingine hazishiki kwa kuwa hazijalipiwa.
 
Nahitaji tv size ndogo ya mwisho tlc,mwenye nayo tuwasiliane.iwe mpya siyo used.
 
[QUOTasAbdulwahid, post: 19060661, member: 218718"]Smart inakupa acsess ya internet ambayo itakuwezesha kuperuzi mitandao mbalimbali ikiwemo youtube na mengineo, led ni tv tu[/QUOTE]
Smart inakupa acsess ya internet ambayo itakuwezesha kuperuzi mitandao mbalimbali ikiwemo youtube na mengineo, led ni tv tu
Mkuu asante nimefanikiwa kupata TV niliyoagiza ikiwa salama
 
Mkuu hivi Samsung kuna inches 21,22,24,25 na 28 au hebu naomba ufafanuz wa usahihi wa hizi inches na kati ya hizo utazonifafanulia Nipe bei zake
Mkuu hizo zote hatuna, tulizonazo ni kuanzia 32" na kubwa zake zaid
 
Back
Top Bottom