Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Natafuta lg TV inch 32 ambayo ni mbovu ila display yake iwe nzima,mwenye nayo ani pm
 
Mkuu hiyo tv tunayo, tunauza 1.55m, hiyo homtheatre imekosa ilo sharti la smart tu, vigezo vyengine vyote vipo, tunauza 600000
Mkuu Abduwahid mm nahitaji radio tena naweza ifata huko Zenji kbs ila naomba kujua hapo bandarini hawatanisumbua masuala Ya mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…