Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuna ya speaker fupi tatu na ndefu mbili bei 750000 na ya speaker nne ndefu fupi moja 900000 zote ni wats 1000 njoo whatsapp nikutumie picha 0714-417739
 
Wakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje
Hiyo ya nchi 60 ingekuwa LED ningekuwa hela yako muda wowote kuanzia sasa
 
AINA YA KINGAMUZI STAR TIMES ( DISHI)
MUDA WA KUTUMIKA MWEZI 1
SABABU YA KUUZA NATAKA KUAMA TOKA STARTIMES KWENDA DSTV
BEI HALISI NI 90,000 PAMOJA NA KIFURUSHI
MIMI NAUZA 70,000 PAMOJA NA KIFURUSHI

UNAPATA FULL SET YANI DECODER NA UNGO WAKE WA STARTIMES

MAWASILIANO 0717184353

ONYO LENGO NI BIASHARA TENA UWE MNUNUZI BRAH BRAH SITAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…