January songo
Member
- May 26, 2017
- 96
- 100
Kuna ya speaker fupi tatu na ndefu mbili bei 750000 na ya speaker nne ndefu fupi moja 900000 zote ni wats 1000 njoo whatsapp nikutumie picha 0714-417739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.functionally what are the differences between those two.?please[/QUOTE]Star x led 32" kwa 330000 au tcl smart 32" kwa 400000![]()
![]()
Hcho king'amuzi cha azam nacho ni used unauza kaka ?.
Nnayo used 430,000/ Samsung
Iko nzuri.
Hapana siuzi receiver ya azamHcho king'amuzi cha azam nacho ni used unauza kaka ?
Hiyo ya nchi 60 ingekuwa LED ningekuwa hela yako muda wowote kuanzia sasaWakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje
Hiyo boss isipungue mil 2.3Samsung 55", smart tv, series 7 with 3D sh ngap
nina milioni moja chief fanya mpango niipateHiyo boss isipungue mil 2.3
vip mkuu bado upo nayo ??Nami ninayo used sony tv inchi 21 nataka elfu 50 tu fasta kwa picha ni pm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
bdo ipo mkuu??Mi nauza sony inch 18 elfu 50
Nzuri mkuu.Mazee hizi star x ni nzuuri ama promo za bei tu