LED kirefu chake ni Light emitting diode, ni technology nzuri kwenye TV Picha inakua angavu zaidi kulinganisha na zile za plasma, LCD. kwa kifupi kuna vi pixels vingi ndani Kama taa ndivyo vinavyotoa mwanga, LCD zina kemikali Kama maji ndio zinazotoa Picha ndani. Smart TV, ni zile zenye Uwezo wa Kua connected wireless na vifaa vingine e. g Wi-FiSamahani wadau hivi inapokua LED huwa inamanisha nini